Hardcover
‘Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi’ ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, ‘World Drugs Enforcement Commission’ (WODEC)…
Save 10%

Kolonia Santita

Laana YA Panthera Tigrisi

RRP$56.18

$50.57

  • Hardcover

    406 pages

  • Release Date

    13 September 2012

Check Delivery Options

Summary

‘Kolonia Santita: Laana Ya Panthera Tigrisi’ ni hadithi ya kusisimua ya kijasusi na madawa ya kulevya iliyoandikwa na Enock Abiud Maregesi. Inazungumzia vita kati ya Tume ya Dunia ya Umoja wa Mataifa, ya kudhibiti madawa ya kulevya na ugaidi wa kimataifa, ‘World Drugs Enforcement Commission’ (WODEC) au Tume ya Dunia; na shirika kubwa la madawa ya kulevya la Kolonia Santita (CS-14) la Kolombia na Meksiko. Inaelezea, kwa kinagaubaga, jitihada za pamoja kati ya Tume ya Dunia, Marekani na Meksiko za kuwasaka na hatimaye kuwatia nguvuni viongozi nduli wa CS-14; na kuzuia shehena (kubwa) ya madawa ya kulevya na malighafi ya nyukilia: kwenda Afrika, Asia, Amerika, Ulaya - na kung’oa mizizi ya shirika la CS-14, lote, katika nchi za Hemisifi a ya Magharibi - na duniani kwa jumla.
Hiki ni kitabu cha kwanza cha aina yake cha kimataifa katika Tanzania. Lengo lake si tu kukata kiu ya wapenzi wa riwaya za kipelelezi na kufufua mwamko wa usomaji wa vitabu; ni kuleta, hali kadhalika, ufahamu na burudani ya kimataifa kwa Watanzania, Wakenya na Waganda - na jamii nzima ya Afrika ya Mashariki inayozungumza Kiswahili - na walowezi wa jamii yote ya Kiswahili duniani.

Book Details

ISBN-13:9781477222966
ISBN-10:1477222960
Author:Enock Maregesi
Publisher:Authorhouse UK
Imprint:Authorhouse UK
Format:Hardcover
Number of Pages:406
Release Date:13 September 2012
Weight:748g
Dimensions:27mm x 152mm x 229mm
A-Format
B-Format
Kolonia Santita by Enock Maregesi - ISBN: 9781477222966
152 × 229 mm
C-Format
A4
mm / in

Returns

This item is eligible for free returns within 30 days of delivery. See our returns policy for further details.